Umbali Mkubwa wa Kutupa: Muundo wa chuma unaokuwezesha kufika mbali bila nguvu nyingi.
Mtetemo Unaovutia: Rotating vibration + splash effect hufanya lure iwe kama samaki hai.
Imara na Kudumu: Haiishi kutu, inafaa kwa maji baridi na baharini.
Inafaa kwa samaki kama Kingfish, Dorado, Baracuda, n.k.
Tumia kwenye bahari, mito, au ziwa – matokeo ya haraka, burudani kamili ya uvuvi!